Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Sala ya Ijumaa ilifanyika (iliswaliwa) chini ya Uongozi wa Hojjat al-Islam wal Muslimina "Syed Jawad Naqvi" katika Msikiti wa "Bait al-Atiq" huko katika Hawzat (Seminari) ya "Ur'wat al-Wuthqa" katika Mji mji wa Lahore katika nchi ya Pakistan.
19 Oktoba 2024 - 13:08
Msimbo wa Habari: 1496150